Benki:
NMB Bank
Jina la Akaunti:
Q-ZAT FINANCE LIMITED
Namba ya Akaunti:
30610129041
Unaweza kulipa kupitia NMB Mobile App, USSD (*150*66#), tawi la NMB au wakala wa benki.
Weka Namba ya Akaunti na Jina la Akaunti kama ilivyo juu.
Tumia Kumbukumbu/Reference yako kama:
Namba yako ya simu uliyotumia kujisajili
(namba ya simu uliyosajilia).
Hakikisha jina linaloonekana ni Q-ZAT FINANCE LIMITED kabla ya kuthibitisha malipo.
Baada ya malipo, unaweza kutuma uthibitisho (slip) kwa timu ya Q-Zat iwapo utahitajika kwa usaidizi wa haraka.