Jinsi Inavyofanya Kazi
Chagua bidhaa/lengo, weka akiba bila riba, ukifika 75% unapata bidhaa mapema kulingana na vigezo vya huduma.
- Chagua bidhaa au lengo la akiba
- Weka akiba kwa awamu bila riba
- Fuatilia maendeleo muda wowote
Q-Zat inakuwezesha kumiliki bidhaa kwa utaratibu wa kipekee kupitia mpango wa Tunza unaojengwa juu ya uwazi na nidhamu ya kifedha. Unapofikia asilimia 75 ya thamani ya bidhaa, unakabidhiwa mara moja na kuanza kuitumia, kisha unakamilisha salio lililobaki taratibu bila riba.
Chagua bidhaa/lengo, weka akiba bila riba, ukifika 75% unapata bidhaa mapema kulingana na vigezo vya huduma.
Uwazi wa taarifa, ufuatiliaji wa maendeleo na mawasiliano rasmi kupitia App/SMS.
Malipo yanathibitishwa na kurekodiwa — mteja anaendelea na mpango wake bila presha ya mkupuo.
Taarifa za wateja na miamala zinahifadhiwa kwa usalama na hutumika kwa madhumuni ya utoaji wa huduma.
Tupo tayari kukusaidia. Pata mwongozo, maswali ya mara kwa mara na msaada wa akaunti.
Panua huduma na sisi — ushirika, uhamasishaji na ufikiaji wa wateja kwa njia ya kidijitali.